Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yakini nimeona mateso ya watu wangu waliomo Misri, nimesikia kuugua kwao, nimeshuka niwatoe. Bassi sasa, nitakutuma hatta Misri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule Misri. Nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule Misri. Nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule Misri. Nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Hakika nimeona mateso ya watu wangu huko Misri. Nimesikia kilio chao cha uchungu, nami nimeshuka ili niwaokoe. Basi sasa njoo, nami nitakutuma Misri.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Hakika nimeona mateso ya watu wangu huko Misri. Nimesikia kilio chao cha uchungu, nami nimeshuka ili niwaokoe. Basi sasa njoo, nami nitakutuma Misri.’

Tazama sura Nakili

Matendo 7:34
21 Marejeleo ya Msalaba  

Na hapana mtu aliyepanda mbinguni, illa yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, Mwana wa Adamu alioko mbinguni.

Kwa kuwa sikushuka kutoka mbinguni illi niyafanye mapenzi yangu, hali mapenzi yake aliyenipeleka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo