Matendo 7:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Musa akatetemeka, asithubutu kutazama. Bwana akamwambia, Vua viatu vyako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni inchi takatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 “Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 “Ndipo Bwana Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu. Tazama sura |