Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Musa alipouona, akastaajabia maono yale, na alipokaribia illi atazame, sauti ya Bwana ikamjia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Mose alistaajabu sana kuona tukio hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya Bwana:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Mose alistaajabu sana kuona tukio hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya Bwana:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Mose alistaajabu sana kuona tukio hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya Bwana:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Alipoona mambo haya, alishangaa yale maono. Aliposogea ili aangalie kwa karibu, akaisikia sauti ya Mwenyezi Mungu, ikisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Alipoona mambo haya, alishangaa yale maono. Aliposogea ili aangalie kwa karibu, akaisikia sauti ya Mwenyezi Mungu, ikisema:

Tazama sura Nakili

Matendo 7:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.

Hatta miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima Sinai katika mwali wa moto, kijitini.

Mimi ni Mungu wa baba zako, Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaak, na Mungu wa Yakobo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo