Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Toka katika inchi yako na katika jamaa zako, ukaende hatta inchi nitakayokuonyesha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mungu alimwambia: ‘Ondoka katika nchi yako; waache watu wa ukoo wako; nenda katika nchi nitakayokuonesha!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mungu alimwambia: ‘Ondoka katika nchi yako; waache watu wa ukoo wako; nenda katika nchi nitakayokuonesha!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mungu alimwambia: ‘Ondoka katika nchi yako; waache watu wa ukoo wako; nenda katika nchi nitakayokuonesha!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 akamwambia, ‘Ondoka katika nchi yako na katika jamii yako, uende hadi nchi nitakayokuonesha.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 akamwambia, ‘Ondoka kutoka nchi yako na kutoka kwa jamii yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha.’

Tazama sura Nakili




Matendo 7:3
11 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.


Bassi, kadhalika killa mmoja wenu asiyeviacha vitu vyote alivyo navyo hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Ndipo alitoka katika inchi ya Wakaldayo, akakaa Kharran, akatoka huko baada ya kufa baba yake, Mungu akamhamisha hatta inchi hii mnayokaa ninyi sasa.


Kwa hiyo Tokeni kati yao, mkatengwe nao, asema Bwana, Wala msiguse kitu kilicho kichafu.


Kwa imani Ibrahimu alipoitwa aliitika, akatoka aende hatta mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo