Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka kuwa mkuu wetu, na mwamuzi wetu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma Mose kando akisema: ‘Ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma Mose kando akisema: ‘Ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma Mose kando akisema: ‘Ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “Lakini yule mtu aliyekuwa akimdhulumu mwenzake akamsukuma Musa kando, akamuuliza, ‘Ni nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi juu yetu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “Lakini yule mtu aliyekuwa akimdhulumu mwenzake akamsukuma Musa kando, akamuuliza, ‘Ni nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi juu yetu?

Tazama sura Nakili

Matendo 7:27
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokwisha kuingia hekaluni, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakinena, Kwa mamlaka gani unafanya haya? Na nani aliyekupa mamlaka haya?

Akamwambia, Ee mwana Adamu, nani aliyemweka kuwa kadhi au mgawanyi juu yenu?

Wakawaweka katikati, wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani mmefanya haya ninyi?

Waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.

Musa huyo waliyemkataa, wakisema, Ni nani aliyekuweka kuwa mkuu na mwamuzi? ndiye aliyetumwa na Mungu kuwa mkuu na mkombozi, kwa mkono wa yule malaika aliyemtokea katika kile kijiti.

Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarudi Misri,

Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo