Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Siku ya pili yake akawatokea walipokuwa wakishindana, akataka kuwapatanisha, akisema, Enyi bwana zangu, ninyi m ndugu: Mbona mnadhulumiana?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kesho yake, aliwaona Waisraeli wawili wakipigana, akajaribu kuwapatanisha akisema: ‘Nyinyi ni ndugu; kwa nini basi, kutendeana vibaya nyinyi kwa nyinyi?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kesho yake, aliwaona Waisraeli wawili wakipigana, akajaribu kuwapatanisha akisema: ‘Nyinyi ni ndugu; kwa nini basi, kutendeana vibaya nyinyi kwa nyinyi?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kesho yake, aliwaona Waisraeli wawili wakipigana, akajaribu kuwapatanisha akisema: ‘Nyinyi ni ndugu; kwa nini basi, kutendeana vibaya nyinyi kwa nyinyi?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Siku iliyofuata Musa aliwakuta Waisraeli wawili wakigombana, akajaribu kuwapatanisha kwa kuwaambia, ‘Enyi watu, ninyi ni ndugu, mbona mnataka kudhulumiana?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Siku iliyofuata Musa aliwakuta Waisraeli wawili wakigombana, akajaribu kuwapatanisha kwa kuwaambia, ‘Enyi watu, ninyi ni ndugu, mbona mnataka kudhulumiana?’

Tazama sura Nakili

Matendo 7:26
12 Marejeleo ya Msalaba  

Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokofu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.

BASSI ikiwako faraja iliyo yote katika Kristo, yakiwako ma, tulizo yo yote ya mapenzi, ikiwako huruma yo yote na rehema,

Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo