Matendo 7:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Akamwona mmoja akidhulumiwa, akamhami, akamlipia kisasi yule aliyekuwa akionewa, akampiga Mmisri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Huko alimwona mmoja wao akitendewa vibaya, akaenda kumwokoa, na kwa kulipiza kisasi, akamuua yule Mmisri. ( Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Huko alimwona mmoja wao akitendewa vibaya, akaenda kumwokoa, na kwa kulipiza kisasi, akamuua yule Mmisri. ( Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Huko alimwona mmoja wao akitendewa vibaya, akaenda kumwokoa, na kwa kulipiza kisasi, akamuua yule Mmisri. ( Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Aliona mmoja wao akidhulumiwa na Mmisri, akamtetea yule aliyeonewa, akampiga yule Mmisri akamuua kulipiza kisasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Aliona mmoja wao akidhulumiwa na Mmisri, akamtetea yule aliyeonewa, akampiga yule Mmisri akamuua kulipiza kisasi. Tazama sura |