Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Umri wake ulipopata kama miaka arubaini akaazimu moyoni kwenda kuwatazama ndugu zake wana wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 “Musa alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 “Musa alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:23
18 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya siku kadha wa kadha Paolo akamwambia Barnaba, Haya! turejee sasa tukawaangalie ndugu katika killa mji tulipolikhubiri neno la Bwana, wa hali gani.

Akamwona mmoja akidhulumiwa, akamhami, akamlipia kisasi yule aliyekuwa akionewa, akampiga Mmisri.

Lakini Mungu ashukuriwe atiae bidii ile ile kwa ajili yenu katika moyo wa Tito.

Killa kutoa kwenia, na killa kitolewacho kilicho kamili, chatoka juu, chashuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

Maana Muugu ametia mioyoni mwao kufanya shauri lake, na kufanya shauri moja, na kumpa yule nyama ufalme hatta maneno ya Mungu yatimizwe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo