Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Musa akafundishwa hekima yote ya Misri, akawa hodari wa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu Mnazareti, aliyekuwa mtu nabii mwenye nguvu kwa tendo na kwa neno mbele za Mungu na watu wote;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo