Matendo 7:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Hatta alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwana wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Walipomweka nje mtoni, binti Farao akamchukua akamlea kama mtoto wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe. Tazama sura |