Matendo 7:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Wakati huo akazaliwa Musa, nae alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya baba yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 “Wakati huo Musa alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani mwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 “Wakati huo Musa alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani kwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu. Tazama sura |