Matendo 7:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 mpaka mfalme mwingine akaondoka, asiyemfahamu Yusuf. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ndipo ‘mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri’. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ndipo mfalme mwingine ambaye hakujua lolote kuhusu Yusufu akatawala Misri. Tazama sura |