Matendo 7:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 wakachukuliwa hatta Sukem wakazikwa katika kaburi lile, ambalo Ibrahimu alilinunua kwa kimo cha fedha kwa wana wa Emmor, huko Sukem. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Miili yao ililetwa mpaka Shekemu, ikazikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa kabila la Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Miili yao ililetwa mpaka Shekemu, ikazikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa kabila la Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Miili yao ililetwa mpaka Shekemu, ikazikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa kabila la Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Miili yao ilirudishwa Shekemu na kuzikwa katika kaburi ambalo Ibrahimu alinunua kutoka kwa wana wa Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Miili yao ilirudishwa Shekemu na kuzikwa katika kaburi ambalo Ibrahimu alinunua kutoka kwa wana wa Hamori kwa kiasi fulani cha fedha. Tazama sura |