Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Yakobo akashuka hatta Misri, akafariki yeye na baba zetu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:15
13 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo