Matendo 7:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Yusuf akatuma watu akamwita Yakobo baba yake na jamaa zake wote pia, watu sabaini na watano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote; kwa jumla walikuwa watu sabini na watano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano. Tazama sura |