Matendo 7:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Hatta safari ya pili Yusuf akajitambulisha kwa ndugu zake, jamaa ya Yusuf ikawa dhahiri kwa Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Katika safari yao ya pili, Yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, na Farao akaifahamu jamaa ya Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Katika safari yao ya pili, Yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, na Farao akaifahamu jamaa ya Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Katika safari yao ya pili, Yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, na Farao akaifahamu jamaa ya Yosefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Walipoenda mara ya pili, Yusufu alijitambulisha kwa ndugu zake; naye Farao akapata habari kuhusu ndugu za Yusufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Walipokwenda mara ya pili, Yusufu alijitambulisha kwa ndugu zake, nao ndugu zake Yusufu wakajulishwa kwa Farao. Tazama sura |