Matendo 7:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Hatta Yakobo aliposikla ya kwamba huko Misri kuna nafaka, akawatuma baba zetu marra ya kwanza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, Yakobo aliposikia habari kwamba huko Misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko Misri mara ya kwanza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, Yakobo aliposikia habari kwamba huko Misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko Misri mara ya kwanza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, Yakobo aliposikia habari kwamba huko Misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko Misri mara ya kwanza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini Yakobo aliposikia kwamba kuna nafaka huko Misri, aliwatuma baba zetu, wakaenda huko kwa mara yao ya kwanza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini Yakobo aliposikia kwamba kuna nafaka huko Misri, aliwatuma baba zetu, wakaenda huko kwa mara yao ya kwanza. Tazama sura |