Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bassi kukawa njaa juu ya inchi yote ya Misri na Kanaan, na dhiki nyingi, wala baba zetu hawakupata chakula cha kuwatosha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kisha, kulizuka njaa kubwa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa. Babu zetu hawakuweza kupata chakula chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kisha, kulizuka njaa kubwa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa. Babu zetu hawakuweza kupata chakula chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kisha, kulizuka njaa kubwa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa. Babu zetu hawakuweza kupata chakula chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Basi kukawa na njaa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa, nao baba zetu wakawa hawana chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Basi kukawa na njaa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa, nao baba zetu wakawa hawana chakula.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo