Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 akamtoa katika misiba yake yote, akampa kibali na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri: nae akamfanya msimamizi wa Misri na nyumba yake yote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 akamwokoa katika taabu zake zote. Mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri, hata Farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 akamwokoa katika taabu zake zote. Mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri, hata Farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 akamwokoa katika taabu zake zote. Mungu alimjalia fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri, hata Farao akamweka awe mkuu wa ile nchi na nyumba ya kifalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Akamwokoa kutoka mateso yote yaliyompata. Tena Mungu akampa Yusufu kibali na hekima aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri. Naye Farao akamweka kuwa mtawala wa Misri na wa jumba lote la kifalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Akamwokoa kutoka mateso yote yaliyompata, tena akampa kibali na hekima aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri, ambaye alimweka kuwa mtawala juu ya Misri na juu ya jumba lote la kifalme.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:10
19 Marejeleo ya Msalaba  

Na Bwana ataniokoa na killa neno baya na kunihifadhi hatta uje ufalme wake wa milele.

Angalieni, twawaita wenye kheri wao waliovumilia. Mmesikia khabari ya uvumilivu wa Ayub, mmenona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwenye rehema nyingi, mwenye huruma.

Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hawo ndio wanaotoka katika shidda ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao wakayafanya meupe katika damu ya Mwana Kondoo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo