Matendo 7:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 KUHANI mkuu akasema, Je! Mambo hayo ndivyo yalivyo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndipo kuhani mkuu akamuuliza Stefano, “Je, mashtaka haya ni ya kweli?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo kuhani mkuu akamuuliza Stefano, “Je, mashtaka haya ni ya kweli?” Tazama sura |