Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Watu wote walioketi katika ile baraza wakamkazia macho yao, wakamwona uso wake kuwa kama uso wa malaika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Watu wote waliokuwa wameketi katika Baraza la Wayahudi wakamkazia macho Stefano, wakaona uso wake unang’aa kama uso wa malaika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Watu wote waliokuwa wameketi katika baraza wakimkazia macho Stefano, wakaona uso wake unang’aa kama uso wa malaika.

Tazama sura Nakili




Matendo 6:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


akageuka sura yake mbele yao: uso wake ukangʼaa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.


Bali mimi nawaambiem, Killa amwoneae ndugu yake ghadhabu bila sababu, itampasa hukumu; na mtu akimwambia ndugu yake, Haka, itampasa baraza; na mtu akinena, Mpumbavu, itampasa jebannum ya moto.


Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.


KUHANI mkuu akasema, Je! Mambo hayo ndivyo yalivyo?


Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiuangalia utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa na kufananishwa na mfano huo huo, toka utukufu hatta utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana aliye Roho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo