Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Petro akamwambia, Hikuwaje hatta mkapatana kumjaribu Roho ya Bwana? angalia, miguu yao waliomzika mume wako ipo mlangoni, nao watakuchukua wewe nawe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Naye Petro akamwambia, “Mbona mmekula njama kumjaribu Roho wa Bwana? Sikiliza! Wale watu waliokwenda kumzika mume wako, sasa wako mlangoni na watakuchukua wewe pia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Naye Petro akamwambia, “Mbona mmekula njama kumjaribu Roho wa Bwana? Sikiliza! Wale watu waliokwenda kumzika mume wako, sasa wako mlangoni na watakuchukua wewe pia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Naye Petro akamwambia, “Mbona mmekula njama kumjaribu Roho wa Bwana? Sikiliza! Wale watu waliokwenda kumzika mume wako, sasa wako mlangoni na watakuchukua wewe pia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo Petro akamwambia, “Imekuwaje mkakubaliana kumjaribu Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi? Tazama! Nyayo za vijana waliomzika mumeo ziko mlangoni, wewe nawe watakupeleka nje.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo Petro akamwambia, “Imekuwaje mkakubaliana kumjaribu Roho wa Mwenyezi Mungu? Tazama! Nyayo za vijana waliomzika mumeo ziko mlangoni, wewe nawe watakuchukua nje.”

Tazama sura Nakili

Matendo 5:9
24 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Akamwita, akamwambia, Nini hii nisikiayo juu yako? Toa khabari ya uwakili wako, maana huwezi tena kuwa wakili.

Bassi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka nira juu ya shingo za wanafunzi, ambayo baba zetu na sisi hatukuweza kuichukua.

Vijana wakaondoka, wakamtia katika saanda, wakamchukua nje, wakamzika.

Tena wakhubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri namna gani miguu yao wakhubirio khabari ya mema.

Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Wala tusimjaribii Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo