Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Petro akamjibu, Niambie, Mliuuza uwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndio, kwa thamani hiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”

Tazama sura Nakili

Matendo 5:8
2 Marejeleo ya Msalaba  

akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe nae akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.

Hatta muda wa saa tatu baadae mkewe akaingia, nae hana khabari ya hayo yaliyotokea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo