Matendo 5:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Hatta muda wa saa tatu baadae mkewe akaingia, nae hana khabari ya hayo yaliyotokea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Muda wa saa tatu baadaye, mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia. Tazama sura |