Matendo 5:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Vijana wakaondoka, wakamtia katika saanda, wakamchukua nje, wakamzika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakampeleka nje kumzika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika. Tazama sura |