Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Bassi sasa nawaambieni, Jiepusheni na watu hawa, waacheni: kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa ya kibinadamu, itavunjwa,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Kwa hiyo, kwa habari ya jambo hili nawashauri, jiepusheni na watu hawa. Waachieni waende zao! Kwa maana kama kusudi lao na shughuli yao imetokana na mwanadamu, haitafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Kwa hiyo, kwa habari ya jambo hili nawashauri, jiepusheni na watu hawa. Waacheni waende zao! Kwa maana kama kusudi lao na shughuli yao imetokana na mwanadamu, haitafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:38
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akasema, Killa pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni, litangʼolewa.

Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wana Adamu? Nijibuni.

Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini: na Warumi watakuja, wataondoa mahali petu na taifa letu.

akaamuru mitume wawekwe nje kitambo, akawaambia, Enyi waume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.

Maana hekima ya dunia hii ni upumbavu mbele ya Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasae wenye hekima katika hila yao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo