Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 akaamuru mitume wawekwe nje kitambo, akawaambia, Enyi waume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Ndipo alipowaambia wazee wa Baraza, “Enyi wanaume wa Israeli, fikirini kwa uangalifu mnayotaka kuwatendea watu hawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Ndipo alipowaambia wajumbe wa baraza, “Enyi watu wa Israeli, fikirini kwa uangalifu mnayotaka kuwatendea watu hawa.

Tazama sura Nakili




Matendo 5:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


Bassi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapaseni kutulia, msifanye neno la haraka haraka.


Yule akida aliposikia, akaenda akamwarifu yule jemadari, akisema, Unataka kufanya nini? kwa maana mtu huyu ni Mrumi.


Lakini mtu mmoja, Farisayo, jina lake Gamaliel, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza,


Kwa sababu kabla ya siku hizi aliondoka Theuda, akidai ya kuwa yeye ni mtu, mkuu watu wapata aroba mia wakashikamana nae, na wote waliomsadiki wakatawanyika wakawa si kitu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo