Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Petro na mitume wakajibu, wakaaena, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wana Adamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:29
10 Marejeleo ya Msalaba  

Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo