Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Wakawaleta, wakaweka katika baraza. Kuhani mkuu akawauliza, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Waliwaleta mitume, wakawasimamisha mbele ya Baraza la Wayahudi ili kuhani mkuu awahoji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Wakiisha kuwaleta mitume wakawaamuru kusimama mbele ya baraza ili kuhani mkuu awahoji.

Tazama sura Nakili




Matendo 5:27
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mimi nawaambiem, Killa amwoneae ndugu yake ghadhabu bila sababu, itampasa hukumu; na mtu akimwambia ndugu yake, Haka, itampasa baraza; na mtu akinena, Mpumbavu, itampasa jebannum ya moto.


Hatta ulipokuwa mchana wakakusanyika jamii ya wazee wa watu, na makuhani wakuu, na waandishi, wakamleta kwa haraza yao, wakisema,


Siku ya pili yake akitaka kujua hakika, ni kwa sababu gani ameshitakiwa na Wayahudi, akamfungua, akawaamuru makuhani wakuu na baraza yote waje. Akamleta Paolo chini, akamweka mbele yao.


Wakawaweka katikati, wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani mmefanya haya ninyi?


Nao waliposikia wakaenda alfajiri hekaluni, wakaanza kufundisha. Akaja kuhani mkuu nao walio pamoja nae, wakawaita watu wa haraza, na wazee wote wa wana wa Israeli, wakatuma watu gerezani illi wawalete.


Lakini mtu mmoja, Farisayo, jina lake Gamaliel, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza,


Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi: wakaniwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo