Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Mtu mmoja akaja akawapasha khabari ya kama, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Tazameni watu mliowafunga gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Tazameni watu mliowatia gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”

Tazama sura Nakili




Matendo 5:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, illi kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa.


Lakini baadhi yao wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.


BASSI Petro na Yohana walikuwa wakipanda pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tissa.


Kuhani mkuu na jemadari wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia haya, wakaingiwa na mashaka kwa ajili yao, yatakuwaje mambo hayo.


Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo