Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Kuhani mkuu na jemadari wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia haya, wakaingiwa na mashaka kwa ajili yao, yatakuwaje mambo hayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mkuu wa walinzi wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mkuu wa walinzi wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mkuu wa walinzi wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Basi mkuu wa walinzi wa Hekalu na viongozi wa makuhani waliposikia haya, wakafadhaika na kushangaa sana kwa ajili yao kwamba jambo hili litakuwaje.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Basi mkuu wa walinzi wa Hekalu na viongozi wa makuhani waliposikia haya, wakafadhaika na kushangaa sana kwa ajili yao kwamba jambo hili litakuwaje.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:24
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda zake akasema na makuhani wakuu na majemadari jinsi ya kumtia katika mikono yao.

Yesu akawaambia waliomjia, makuhani wakuu, na majemadari wa hekalu, na wazee, Kama juu ya mnyanyangʼanyi mmetoka kwa panga na marungu?

Bassi Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, Mwaona kwamba hamfai neno: tazameni, ulimwengu umekwenda nyuma yake.

Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?

HATTA walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na akida wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,

Nao walipokwisha kuwaogofya tena wakawafungua, wasione njia ya kuwaadhibu, kwa sababu ya watu: kwa kuwa watu wote walikuwa wakimtukuza Mungu kwa hayo yaliyotendeka:

wakarudi wakatoa khabari, wakisema, Gereza tumeikuta imefungwa salama salamini, nao walinzi wamesimama mbele ya mlango: lakini tuliponfungua hatukukuta mtu ndani.

Mtu mmoja akaja akawapasha khabari ya kama, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.

Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo