Matendo 5:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 wakarudi wakatoa khabari, wakisema, Gereza tumeikuta imefungwa salama salamini, nao walinzi wamesimama mbele ya mlango: lakini tuliponfungua hatukukuta mtu ndani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 wakisema, “Tulikuta gereza limefungwa kila upande na walinzi wakilinda milango. Lakini tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Wakasema, “Tumekuta milango ya gereza imefungwa sawasawa na askari wa gereza wamesimama nje ya mlango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu yeyote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wakasema, “Tumekuta milango ya gereza imefungwa sawasawa na askari wa gereza wamesimama nje ya mlango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu yeyote ndani.” Tazama sura |