Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Hatta watumishi walipofika hawakuwaona gerezani,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Lakini wale walinzi wa Hekalu walipoenda gerezani hawakuwakuta mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Lakini wale walinzi wa Hekalu walipokwenda gerezani hawakuwakuta mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.

Tazama sura Nakili




Matendo 5:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro akamfuata kwa mbali hatta behewa ya kuhani mkuu, akaingia ndani, akaketi pamoja na watumishi, auone mwisho.


Hatta kulipopambazuka askari wakaingiwa na fadhaa nyingi, amekuwaje Petro.


wakarudi wakatoa khabari, wakisema, Gereza tumeikuta imefungwa salama salamini, nao walinzi wamesimama mbele ya mlango: lakini tuliponfungua hatukukuta mtu ndani.


Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo