Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe nae akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Huku mkewe akijua kikamilifu, Anania alificha sehemu ya fedha alizopata, akaleta kiasi kilichobaki na kukiweka miguuni pa mitume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Huku mkewe akijua kikamilifu, Anania alificha sehemu ya fedha alizopata, akaleta kiasi kilichobaki na kukiweka miguuni pa mitume.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:2
16 Marejeleo ya Msalaba  

Tena matendo yao yote huyatenda illi kutazamwa na watu: hupanua fulakteria zao, huongeza matamvna ya mavazi yao;

Aliyasema haya, si kwa kuwahurumia maskini; hali kwa kuwa ni mwizi, nae ndiye aliyeshika mfuko, akavichikua vilivyotiwa humo.

Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,

alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume.

LAKINI mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza uwanja,

Petro akamwambia, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo kumwambia uwongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya uwanja?

Petro akamjibu, Niambie, Mliuuza uwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndio, kwa thamani hiyo.

Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;

Maana shina moja la mabaya yote ni kupenda fedha, ambayo wengine wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani na kujichoma kwa maumivu mengi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo