Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nayo makutano ya miji ilioyo kando kando ya Yerusalemi yakakutanika, wakileta wagonjwa, nao walioudhiwa na pepo wachafu: nao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Watu wengi walifika kutoka katika miji ya kandokando ya Yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Watu wengi walifika kutoka katika miji ya kandokando ya Yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Watu wengi walifika kutoka katika miji ya kandokando ya Yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Pia watu wakakusanyika kutoka miji iliyokuwa karibu na Yerusalemu, wakileta wagonjwa na watu walioteswa na pepo wachafu. Hao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Pia watu wakakusanyika kutoka miji iliyokuwa karibu na Yerusalemu, wakileta wagonjwa na watu walioteswa na pepo wachafu. Hao wote wakaponywa.

Tazama sura Nakili




Matendo 5:16
16 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Herode, akiona ya kuwa amedhihakiwa na majusi, akaghadhabika sana, akatuma watu kuwaua watoto wote wanawaume waliokuwa Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wa miaka miwili na waliopungua, kwa muda aliouhakiki kwa majusi.


Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Ilipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo: akawafukuza pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,


Hatta siku moja ya siku zile alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waandishi wameketi, waliokuwa wametoka katika killa kijiji cha Galilaya, na cha Yahudi, na Yerusalemi; uweza wa Bwana ulikuwa pamoja nae apate kuwaponya.


nao waliosumbuliwa na pepo wachafu; wakaponywa.


Namakutano walipojua wakamfuata: akawakaribisha, akanena nao khabari za ufalme wa Mungu, akawaponya waliokuwa na haja ya kuponywa.


Amin, amin, nawaambieni, Aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi na yeye atazifanya; atafanya na kubwa kuliko hizi, kwa kuwa nashika njia kwenda kwa Baba.


ukinyosha mkono wako kuponya: ishara na maajabu zifanyike kwa jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu.


hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.


Akaondoka kuhani mkuu na wote waliokuwa pamoja nae (hao ndio walio wa madhehehu ya Masadukayo) wamejaa wivu,


mwingine imani katika Roho yule yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja;


Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo