Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Hata watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Hata watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Hata watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Hata wakawa wanawaleta wagonjwa na kuwalaza kwenye magodoro na kwenye vitanda barabarani ili yamkini Petro akipita kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Hata wakawa wanawaleta wagonjwa na kuwalaza kwenye magodoro na kwenye vitanda barabarani ili yamkini Petro akipita kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:15
8 Marejeleo ya Msalaba  

wakamsihi waguse hatta pindo la vazi lake; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.

kwa maana alisema kimoyomoyo, Nikigusa tu upindo wa vazi lake nitapona.

wakaanza kuwachukua walio hawawezi vitandani, kwenda killa mahali waliposikia kwamba yupo.

Amin, amin, nawaambieni, Aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi na yeye atazifanya; atafanya na kubwa kuliko hizi, kwa kuwa nashika njia kwenda kwa Baba.

Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa; nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi.

Nayo makutano ya miji ilioyo kando kando ya Yerusalemi yakakutanika, wakileta wagonjwa, nao walioudhiwa na pepo wachafu: nao wote wakaponywa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo