Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 5:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Khofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hofu kuu ikalipata kundi la waumini wa Isa lote, pamoja na watu wote waliosikia kuhusu matukio haya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hofu kuu ikawapata waumini wote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya.

Tazama sura Nakili




Matendo 5:11
14 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari hii ikajulikana na Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, khofu ikawaingia wote, jina la Bwana Yesu likaadhimishwa.


Killa mtu akaingiwa na khofu: ajabu nyingi na ishara zikafanyika kwa ujumbe wa mitume.


Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Khofu nyiugi ikawapata watu wote walioyasikia haya.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Bassi, wapendwa, kama vile mlivyotii siku zote, si wakati mimi nilipokuwapo, bali sasa zaidi mimi nisipokuwapo, utimizeni wokofu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka;


Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu khabari za mambo yasiyoonekana bado, kwa kumcha Mungu, aliunda safina, apate kuokoa nyumba yake. Kwa hiyo akauhukumu ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.


mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua watu wengi, wakatiwe najis kwa hilo.


Bassi tukipokea ufalme usioweza kutetemeshwa, tuwe na neema, illi kwa hiyo tumtolee Mungu ibada ya kumpendeza, pamoja na unyenyekevu na kicho:


BASSI, ikiwa ikaliko abadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa.


Na ikiwa mnamwita Baba yeye ahukumuye killa mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa khofu kafika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni;


Ni nani asiyekucha, Bwana, na kulitukuza jina lako? kwa kuwa wewe peke yako Mtakatifu: kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele yako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo