Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Marra akaanguka miguuni pake akafa: wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakati ule ule, akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:10
2 Marejeleo ya Msalaba  

Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Khofu nyiugi ikawapata watu wote walioyasikia haya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo