Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 LAKINI mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza uwanja,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.

Tazama sura Nakili

Matendo 5:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.

alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume.

akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe nae akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.

Bassi katika nyumba havimo vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali na vya mti, na vya udongo; vingine vina heshima, vingine havina heshima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo