Matendo 4:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 na Kayafa pia, na Yohana, na Iskander, na wo wote waliokuwa jamaa zake kuhani mkuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Walikuwemo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu. Tazama sura |