Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 4:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Hatta assubuhi wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Torati walikusanyika Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa Torati wakakusanyika Yerusalemu.

Tazama sura Nakili




Matendo 4:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

MARRA ilipokuwa assubuhi makuhani wakuu wakafanya shauri pamoja na wazee na waandishi na haraza zima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta kwa Pilato.


IKAWA siku moja, alipokuwa akiwafundisha watu hekaluni na kuikhubiri Injili, makuhani wakuu na waandishi, na pamoja nao wazee, wakamtokea ghafula,


Hatta ulipokuwa mchana wakakusanyika jamii ya wazee wa watu, na makuhani wakuu, na waandishi, wakamleta kwa haraza yao, wakisema,


Pilato akawaita pamoja makuhani wakuu, na wakubwa, na watu, akawaambia,


na jinsi makuhani wakuu na wakubwa wetu walivyomtoa kwa hukumu ya kufa, wakamsulibisha;


Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia,


Lakini mtu mmoja, Farisayo, jina lake Gamaliel, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza,


Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi: wakaniwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo