Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 4:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Wakawakamata, wakawaweka garezani hatta assubuhi; kwa kuwa imekwisha kuwa jioni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Basi, waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini ya ulinzi mpaka kesho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Basi, waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini ya ulinzi mpaka kesho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Basi, waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini ya ulinzi mpaka kesho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Wakawakamata Petro na Yohana na kuwafunga gerezani hadi kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Wakawakamata Petro na Yohana na kuwatia gerezani mpaka kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni.

Tazama sura Nakili




Matendo 4:3
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia ya kwamba Yohana amefungwa, akaenda zake hatta Galilaya;


Yesu akawaambia waliomjia, makuhani wakuu, na majemadari wa hekalu, na wazee, Kama juu ya mnyanyangʼanyi mmetoka kwa panga na marungu?


Wakamkamata, wakamchukua, wakamleta nyumbani kwa kuhani mkuu; na Petro akafuata mbali.


Bassi kile kikosi na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi wakamkamata Yesu, wakanifunga,


wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza;


Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi: wakaniwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.


Saul akaliharibu kanisa, akiingia killa nyumba, na kuwabarura wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.


akataka ampe khati za kwenda Dameski zilizoandikwa kwa masunagogi, illi akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo