Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 4:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 illi wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Wakafanya yale uweza wako na mapenzi yako yalikusudia yatokee tangu zamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Wao wakafanya yale ambayo uweza wako na mapenzi yako yalikuwa yamekusudia yatokee tangu zamani.

Tazama sura Nakili




Matendo 4:28
21 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa: lakini ole wake mtu yule ambae Mwana wa Adamu anasalitiwa nae! Ingekuwa kheri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Yatatimizwaje bassi maandiko, kwamba hivyo ndivyo vilivyopasa kuwa?


Kwa maana Mwana wa Adamu aenda zake kama ilivyoamriwa; lakini ole wake mtu yule ambae anasalitiwa nae!


mtu huyu alitwaliwa nanyi kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake taugu zamani, nanyi mkamsulibisha kwa mikono mibaya, mkamwua:


Lakini mambo yale aliyokhubiri Mungu tangu zamani kwa vinywa vya manabii wake wote, ya kama Kristo atateswa, ameyatimiza hivyo.


ambae ndani yake sisi tumepata urithi, tukichaguliwa tangu awali kwa kusudi lake yeye afanyae yote kwa shauri la nia yake;


Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha wairithio ile ahadi jinsi mashauri yake yasivyoweza kubadilika, alitia kiapo katikati;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo