Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 maana ishara mashuhuri imefanywa nao, iliyo dhabiri kwa watu wote wakaao Yerusalemi, wala hatuwezi kuikana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wakaulizana, “Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi Yerusalemu anajua kwamba muujiza huu wa ajabu umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wakaulizana, “Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi Yerusalemu anajua kwamba muujiza huu wa ajabu umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wakaulizana, “Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi Yerusalemu anajua kwamba muujiza huu wa ajabu umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Wakaulizana, “Tuwafanyie nini watu hawa? Hatuwezi kukanusha muujiza huu mkubwa walioufanya, ambao ni dhahiri kwa kila mtu Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Wakaulizana, “Tuwafanyie nini watu hawa? Hatuwezi kukanusha muujiza huu mkubwa walioufanya ambao ni dhahiri kwa kila mtu Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Matendo 4:16
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, Enendeni na ninyi katika shamba la mizabibu, na iliyo haki mtapata.

Bassi walikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, jina lake Barabba.

Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.

Kwa sababu hiyo makutano wakaenda kumlaki, kwa sababu wamesikia ya kwamba amefanya ishara hii.

lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala na Roho aliyosema nayo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo