Matendo 4:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri, wakisemii, Tuwafanyieni watu hawa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi, ili wasemezane jambo hilo wao wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao. Tazama sura |