Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 4:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Huyu ndiye ambaye Maandiko Matakatifu yanasema: ‘Jiwe mlilokataa nyinyi waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Huyu ndiye ambaye Maandiko Matakatifu yanasema: ‘Jiwe mlilokataa nyinyi waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Huyu ndiye ambaye Maandiko Matakatifu yanasema: ‘Jiwe mlilokataa nyinyi waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Huyu ndiye “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Huyu ndiye “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’

Tazama sura Nakili

Matendo 4:11
20 Marejeleo ya Msalaba  

Akajihu akawaambia, Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kutengeneza yote; lakini, pamoja na haya ameandikwaje Mwana wa Adamu ya kwamba atateswa mengi na kudharanliwa?

Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;

Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;

KWA sababu hiyo, kwa kuwa tuna khuduma hii, kwa jinsi tulivyorehemiwa, hatulegei;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo