Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 3:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Naam, na manabii wote tangu Samwil na wale waliokuja nyuma yake, wote walionena, walikhubiri khabari za siku hizi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Naam, manabii wote tangu Samweli na waliokuja baada yake, wote walitabiri kuhusu siku hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Naam, manabii wote tangu Samweli na waliokuja baada yake, wote walitabiri kuhusu siku hizi.

Tazama sura Nakili

Matendo 3:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akaanza toka Musa na manabii, akawafasiria katika maandiko yote mambo yaliyomkhusu yeye.

Baada ya muda wa miaka aruba mia na khamsini, akawapa waamuzi hatta zamani za nabii Samwil.

akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kama, Yesu huyu ninaewapasha ninyi khabari zake ndiye Kristo.

ya kwamba Kristo hana buddi kuteswa na ya kwamba yeye kwanza kwa kufufuliwa katika wafu atatangaza khabari za nuru kwa watu wake na kwa watu wa mataifa.

Tubuni bassi, mrejee, illi dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuhurudishwa kwa kuwako kwake Bwana:

ambae ilimpasa kupokewa mbinguni hatta zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa vinywa vya manabii wake tokea mwanzo wa ulimwengu.

Sasa, lakini, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sharia, inashuhudiwa na torati na manabii,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo