Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 3:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bassi yule kiwete aliyeponywa alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililokwitwa tao la Sulemani; wakishangaa sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa, wakaanza kukimbilia mahali palipoitwa “Ukumbi wa Solomoni,” ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana na Petro na Yohane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa, wakaanza kukimbilia mahali palipoitwa “Ukumbi wa Solomoni,” ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana na Petro na Yohane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa, wakaanza kukimbilia mahali palipoitwa “Ukumbi wa Solomoni,” ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana na Petro na Yohane.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Aliyeponywa alipokuwa akiambatana na Petro na Yohana, watu wote walishangaa mno, wakaja wakiwakimbilia pale Ukumbi wa Sulemani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Aliyeponywa alipokuwa akiambatana na Petro na Yohana, watu wote walishangaa mno, wakaja wakiwakimbilia pale ukumbi wa Sulemani.

Tazama sura Nakili




Matendo 3:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akapeleka Petro na Yohana, akisema, Enendeni, mkatuandikie pasaka, illi tuile.


Na yule mtu aliyetokwa na pepo akamsihi awe pamoja nae: lakini Yesu akamwaga, akisema,


Na Yesu alikuwa akitembea ndani ya hekalu, katika ukumbi wa Sulemani.


Bassi sauti hii ilipokuja makutano walikutanika, wakashikwa na fadhaa, kwa kuwa killa mmoja aliwasikia wakisema kwa lugha yake.


Hatta Petro alipoona haya akawajibu watu, Enyi Waisraeli, mbona mnastaajabia haya, au mbona mnatukazia macho sisi, kana kwamba tumemfanya huyu aende kwa nguvu zetu sisi, au kwa utawa wetu sisi?


Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka.


Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, Tutazame sisi.


Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu: nao wote walikuwa kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo