Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 28:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa; nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Jambo hili lilipotukia, watu wote wa kisiwa kile waliokuwa wagonjwa wakaja, nao wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Jambo hili lilipotukia, watu wote wa kisiwa kile waliokuwa wagonjwa wakaja, nao wakaponywa.

Tazama sura Nakili




Matendo 28:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote cha Kupro, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa nwongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu:


Na tulipoondoka wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.


Ikawa baba yake Publio alikuwa hawezi homa na kuhara damu. Paolo akaingia kwake, akaomba, akaweka mikono yake juu yake, akamponya


Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu: nao wote walikuwa kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani:


hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo