Matendo 28:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Lakini yeye akamtikisia motoni asipate madhara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini Paulo alikikung'utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote. Tazama sura |